TRENI YA UMEME (Standard Gauge) Dar To Dodoma ( DRONE CAMERA) With director black fish BF TV Online — November 17, 2021 12 comments Tweet on Twitter Share on Facebook Google+ Pinterest TRENI YA UMEME (Standard Gauge) Dar To Dodoma ( DRONE SHOTS) With director black fish. source drone Tweet on Twitter Share on Facebook Google+ Pinterest
Tatizo ni fidia kipande cha pili mladi wa umeme malipo yanasuasua sana na kama tasimini tayali bado malipo tu.
Hii drone ni kibokooo kaka nime share kwa watu kama 20 kuwakomesha ipo very clear utasema picha za Google daa hongera.
Tatizo ni fidia kipande cha pili mladi wa umeme malipo yanasuasua sana na kama tasimini tayali bado malipo tu.
Rip jpm
Huu mradi ni kabambe maana hilo daraja tu ni mradi pia
🙏🙏🙏
Hii drone ni kibokooo kaka nime share kwa watu kama 20 kuwakomesha ipo very clear utasema picha za Google daa hongera.
Hongera kutoka Kenya!
Kama render aisee
safisana tunakuombea rais wetu magufuri allah akuongoze kwenyekazi zakozote
I think your camera is fantastic, congrats for that bro
Tanzania yetu inapendeza mno. Uoto wa asili, miradi mikubwa na mshikamano. Subscribed
Amizing Tanzania 🇹🇿
Taifa la wanaume mashariki mwa Africa