
kukua kwa teknolojia kumezidi kurahisisha mambo, leo tunakutana na mtaalamu wa kurusha Drone. Kifaa chenye uwezo wa kukupa picha yenye ubora wa 4k …
source
kukua kwa teknolojia kumezidi kurahisisha mambo, leo tunakutana na mtaalamu wa kurusha Drone. Kifaa chenye uwezo wa kukupa picha yenye ubora wa 4k …
source
Comments are closed.
Naomba unisaidie mawasiliano na huyu jamaa
Je drone nishilingingapi dukani
USHAMBA WENU NDO UNAOWAFANYA MSHANGAE KM 5 PASIPOKUJUA KUA HIZO DRONE HAZILINGANI NYI MNAZANI ZOTE ZIKO HIVO… KUNA DRONE INA UWEZO WA KURUKA IKIWA IMEBEBA KITU CHENYE UZITO WA KILO 300 MNALIJUA HILO NA UNAPOAMBIWA DRONE USIFIKIRI ZOTE NI KWAAJILI YA KUSHUTI HARUSI NA MATAMASHA NOO!!
Hatar
Naitaka hii bei gani
Kifaahicho kinauzwa shingapi
ni shingap
Tupeni basi hata namba zenu kwaajili ya uelimishaji
Nikihitaji napataje
Inapiga picha au kazi yake kubwa ni kuchukua video
Sh ngapi iyo
Juu km 5 kwa masaa mangapi ?
Iyo drone bei gan??
Kinauzwa shingapi
Nahitaji kujifunza kuitumia je inakuaje?
Vinauzwa shingapi
inauzwa beigan kaka
fineee
Kaliako inauzwa milion ngap kwamusa ada wa mashabiki wa channel hii.
https://www.youtube.com/watch?v=VCigZSQKv5k&feature=youtu.be&fbclid=IwAR3tg1xjynmeZs4q3Q2Dvs9upvbm1ZzivGaQUovCaa4lMVTYXUi1QL84if0
Asant
Naomba kujua inauzwa shingapi
how much
Hamnaga kabaya
Alieunganisha kideo kipaji sana